Tunaomba Radhi kwa kutokuendelea na Movie ya MWONAJI MKUBWA kwasababu zilizo nje na uwezo wetu tunawahakikishia Movie hii itaendelea Wiki ijayo Ila kwa Wiki hii tutaanza na movie Mpya inayokwenda kwa jina la MPENZI SHETANI , Tunaamini utaifurahia movie hii ..... ASANTENI